Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA YA VYUMBA VITATU (3) TSHS.65 MILIONI MBEZI MAKABE.
Ipo umbali wa kilomita 3 kutoka Barabara ya Goba.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
MKATABA WA MAUZIANO.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________mpg
Nyumba nzuri inayojitegemea.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia Ina Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Banda linalojitegemea lenye Chumba kimoja. ambacho ni Masta.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.