Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA YA VYUMBA 3, TSHS.40 MILIONI, MBEZI KIBANDA CHA MKAA.
Kiwanja SQM.500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 3 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Imejengwa kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia Ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali