Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
TSHS MIL 75, NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI MSAKUZI
UKUBWA WA KIWANJA SQM 500
NYARAKA ZA UMILIKI INA SALES AGREEMENT
NYUMBA NZURI YA KISASA
YA KIFAMILIA
YENYE;
Vyumba vitatu vya kulala viwili katiyavyo ni master, Dinning, Sebule, Jiko, Stoo & Public Toilet
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space
IMEBAKISHA FINISHING YA; Fence, Paving nk
BEI INAUZWA TSHS MIL 75
KWA MAWASILIANO PIGA;
๐ +255 718 936 416
+255 768 914 118