Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA
IPO MBEZI MWISHO MSAKUZI
BEI TSH MILIONI 180 MAZUNGUMZO YAPO
UKUBWA WA ENEO SQM 1200
UMILIKI; HATI MILIKI
VYUMBA 3 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILET
MAJI YAPO
UMEME UPO
FENCED AND GATE
PIA KUNA SERVANT COTTAGE YA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA SEBULE,
JIKO LA NJE
PUBLIC TOILET YA NJE
PIA KUNA GARAGE YA KULAZA GARI MBILI
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30,000/=
0746 433 854