Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
🇹🇿 NYUMBA INAUZWA
Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAAA
#VYUMBA VITATU VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#DINNING ROOM
#KIMOJA MASTER BEDROOM
#JIKO NZURI KUBWA
#CHOO CHA NDANI
#UKUBWA WA ENEO NI SQMETER 500
BEI NI 40M TU #MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA
#NYUMBA IPO UMBALI WA KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA NZURI NA KUBWA KABISA KARIBU SANA MTEJA
📌ZINGATIA HILI NDUGU MTEJA GARI HAIFIKI MPAKA NYUMBANI INAISHIA METER 15 KUTOKA GARI INAPOISHIA MPAKA KWENYE NYUMBA
#SERVICE CHARGE YA KUPELEKWA SITE NI 30,000/=
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp