Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
PAGALE LA VYUMBA VITATU (3) TSHS.30 MILIONI, MPIJI MAGOHE/ MBEZI MWISHO.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.500.
KIWANJA KIMEPIMWA.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mpg
Huduma za Umeme na Maji zipo jirani.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.