Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







BEI MILIONI 27
NYUMBA INAUZWA IPO
MBEZI MALAMBA KITUO MAKUTI
IPO SEHEMU NZURI SANA KARIBU NA BARABARANI
KISHUKA TU KUTEMBEA DAKIKA 6 KWA MIGUU
SIFA YA NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE JIKO
CHOO CHA PABILIKI
STOO
MAJI DAWASKO
UKUBWA WA ENEO SM 200
NYUMBA INAPANGAJI
ANALIPA LAKI 3
KUPELEKWA KUONA 30,000
KARIBU MTEJA
0746 433 854