Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA ZURI KABISA INAUZWA BEI YA KUTUPA KABISAAA
LOCATION:MBEZI MWISHO (KWA MAKARANGA)
BAJAJI:1500
BEI YAKE:MILION 60
SIFA YA NYUMBA
👉VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
👉SEBURE KUBWA
👉DINNING KUBWA
👉JIKO KUBWA
👉TOILET PUBLIC
👉UMEME NA MAJI YAPO
UKUBWA WA ENEO NI SQMT:900
CONTACT
0782428327