Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
YAKUMALIZIA UJENZI, VYUMBA 3, TSHS.37 MILIONI,MBEZI MALAMBA MAWILI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo umbali wa mita 600 kutoka Barabara ya Kinyerezi.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ni nyumba yenye jumla ya vyumba 3 (Masta1 )
Pia Sebule,Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema.