Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI MBEZI MWISHO MSAKUZI - (MILLION 58)
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa(Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 500
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo (Pia Kuna Kisima Cha Maji Safi)
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 58 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
.
.
.
.
.
.
.
.
#tanzania #diamondplatnumz #mwanza #simbasc #hajimanara #daressalaam #cloudstvtz #sammisagonews #sammisagonews #grobalpublisher #millardayoupdates #NYUMBA #nyumbabeinafuu #nyumbatanzania #nyumbazetu #reels