Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam


Nyumba nikali sana hiyo inauzwa
Ipo mbweni MOGA
Plot size 700 sqm
Ina vyumba vitatu vyote master
Ina boy cota chumba sebule
Ina sitting ya kisasa kalii kubwa
dinning yakujiachia
ina public toilet modern sana
Garden yakishua sana
Mtaa wa matajiri
Bei milioni 400Tzs tu
Nyumba ni unyama sana
piga simu sasa hivi tumalize hii
Site visit fees Tzs 50k
Call #0744400988



















