Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mji Mwema, Njombe
NYUMBA NZURI YA GHOROFA INAUZWA (MILLION 160) KIGAMBON MJI MWEMA - DAR ES SALAM
Mawasiliano: 0782117054-0718802350
Nyumba Ina Room Mbili (2) Juu Vyote Self Contained Pia Chini Kuna Room Tatu (3) Zote Self Contained, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Material Yote Ya Kumalizia Ujenzi Yapo Site
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 610
Umbali: 1.2 Kutoka Barabara kuu Ya Lami Maji Traffic lights (Kibugumo Ya Msingi)
Bei : 160 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=