Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mkonze, Dodoma


🙏 NYUMBA INAUZWA MKONZE DODOMA
✨️ MAHARI ➡️ MKONZE DODOMA
✨️ MUUNDO
▶️ VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
▶️ SEBULE KUBWA
▶️ DINNING
▶️ JIKO
▶️ STOO
▶️ PUBLIC TOILET
✨️ HUDUMA
▶️ UMEME UPO
▶️ MAJI YAPO
▶️ KL 7 KUTOKA CITY CENTER
▶️ NIJIRANI SANA NA LAMI
▶️ KL MOJA KUTOKA SGR STATION
✨️ UKUBWA WA KIWANJA SQM 800+
📍 BEI MILLION 75.
✨️DOCUMENT ZIPO
▶️ MAZUNGUMZO YAPO KIDOGO
▶️ GHARAMA ZA KWENDA KUANGALIA NYUMBA NI 15,000/=
☎️ 0787 - 037986 ➡️ CALL & WHATSAPP
▶️ KARIBUNI SANA WATEJA