Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Moshono, Arusha
HOUSE FOR SALE ARUSHA MOSHONO LAIZA
Ni nyumba ya bedroom 3 yenye kabati
Ina master
Ina sitting
Ina dinning
Ina kitchen yenye kabati
Ina heater system vyumba vyote
Ina electric fance
Ina parking
Ina garden
Ina maji ya Auwsa 24 hrs
Ina servant cotter
Nyumba ni mpya
BEi: ml 175 ina maongezi
Location moshono laiza malaika
Kwa mwiitaji piga number
0753503791