Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mwongozo, Tabora


🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MWONGOZO, KIGAMBONI 🌴
✔️ Vyumba 3 vya kulala (2 master)
✔️ Sebule kubwa + Dining
✔️ Jiko la kisasa lenye makabati
✔️ Plot kubwa sqm 815 yenye nafasi & parking ya kutosha
✔️ Maji na umeme vyote vipo
✔️ Document: Leseni ya Makazi – Safe & Legal ✅
📍 Ipo Mwongozo, Kigamboni – eneo tulivu na salama.
💰 BEI: Tsh 170,000,000 (maongezi yapo)
👉 Nyumba hii ni ready to move in – huna haja ya kufanya marekebisho.
📞 Wasiliana: 0746 433 854