Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Nzuguni, Dodoma
NYUMBA INAUZWA NZUGUNI B JIRANI NA CHUO CHA TRACDi JIJINI DODOMA
Mahali; Nzuguni
Eneo ukubwa; 900 sq.m
Sifa; Ina vyumba vitatu
Master bedroom
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Ina fensi upande mmoja
Bei; 23,000,000/= ( milioni ishirini na tatu tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"