Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Nzuguni, Dodoma


Wakuu nyumba sokoni location nzuguni A mwisho wa lami kiwanja SQM 690 document ndo yuko kwenye process zakupata hati miliki pamepimwa vyumba 3 kimoja master sebule dining toilet public Bei milion 25. tuuu yakuwahi sana