Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Nzuguni, Dodoma


NYUMBA NZURII IMEKAMILIKA KILA KITU.
INAUZWA DODOMA NZUGUNI
UELEKO WA MAIN ROAD MORO - DAR.
ðEneo Hili ndio UWANJA MKUBWA WA MPIRA WA KIMATAIFA unajengwa.
â«ïžPIA ARENA
â«ïžNdio Soko kuu na Stand Kuu ya ma
Mabus ya mikoani ilipo.
ðNi jilan sana na Viwanja vya maonyesho ya 8 8
ðEneo hili ni eneo lenye Fursa kubwaa na Nyingi sanaaa.
Kwa Baadhi ya hizo shughuli za kijamii zilizopo jilan kabisaa.
Ndio Eneo Linapakana na ILAZO + IHUMWA
Muundo wa Nyumba hii
â«ïžRoom 3 - 2 master bedroom
â«ïžSeble
â«ïžJiko
â«ïžPublictoilet
Huduma zote zipo.
âïžMaji + Umeme
(Duwasa / Tanesco)
âïžTank za Maji
âïžFull Fens na Get
âïžUwanjan Kotee hakuna Vumbi wala Tope kuna Raflow (cement)
Nyumba Ina nafasi nzurii
Imejengwa kwa Viwango Boraa sana vya ujenzi.
Inafaa sana Kwa Familiar
Bei N Tsh Million 60 tuh
Njoo site uone Nyumba Tuzungumze Biashara.
Site visit Elfu 20,000/=
ð²Mawasiliano zaid
ð²Call ____ watsapp 0718436694



















