Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (KIMOJA NI MASTER), SEBULE KUBWA, DINING NA JIKO.
UMEME UPO TAYARI NDANI YA NYUMBA, NA FENSI IPO PANDE TATU BADO UPANDE MMOJA TU..
UKUBWA WA ENEO NI SQM 400.
HAIKO MBALI NA BARABARA KUBWA.
LOCATION: PUGU KWA MUSTAFA.
BEI: MILIONI 40
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.