Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Sakina, Arusha


Nyumba ya bedroom 3 ina pangishwa jijin Arusha sakina Arusha meet
Ina bedroom 3 yenye kabati
Ina Master room
Ina sitting room
Ina dining room
Ina kitchen yenye kabati
Ina public toilet
Ina heater system
Ina parking space kubwa
Ina garden
Stand alone
Bei laki: 500000 ilipwe kwa mwaka
Location sakina Arusha meet
Kwa mwiitaji piga number
0753503791/0784457400