Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Segerea, Dar Es Salaam







Nyumba ya Kisasa Inauzwa Segerea Mwisho!
π Vyumba 3 (1 master), sebule ya starehe, dining, jiko la kisasa lenye makabati, store, choo cha umma, kisima, tanki la maji, parking, paving na uzio.
π³ Mtaa mzuri, tulivu, na salama.
π Ukubwa: 800 sqm.
π° Bei: Mil 250 (maongezi yapo).
π Piga simu sasa: 0688 412 890.
Chukua nafasi yako ya kumiliki nyumba ya ndoto yako leo!