Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Sinza, Dar Es Salaam


Nyumba Inauzwa
Mahali: Sinza
Bei: Milioni 650m (Mazungumzo)
☑️Ukubwa: Sqm750
☑️Hati Miliki Imenyooka
☑️Ina Pande 2: Upande 1 Vyumba 3 Na Upande 2 Vyumba 2 (Sebule Jiko Choo) Nk
☑️Mtaa Wa Kwanza Kutoka Lami
☑️Panafaa Kwa Uwekezaji Wowote
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 40,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.
Whatsapp: O677370515
Call: 0688991244