Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata – Segerea Chama, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Vyumba
3
Huduma na Sifa
Maelezo
SI KILA NYUMBA NI NYUMBA… HII NI NYUMBA YA KISASA! 😮🔥🏡
Kwa wale wanaotafuta kununua nyumba ya hadhi, hii ni ile level nyingine kabisa 👇
📍 Tabata – Segerea Chama
✨ Nyumba imekaa kisasa na imekamilika kwa kila kitu:
• 🛏️ Vyumba 3 vikubwa
• 🏠 Servant Quarter
• 🌿 Veranda ya kupumzikia
• ⚡ Electric Fence (ulinzi wa uhakika)
• 🚪 Remote Control Gate
• 💧 Kisima cha maji (hakuna stress ya maji)
🔥 Imenyooka sana, ni nyumba ya kuingia na kuishi moja kwa moja bila kuongeza chochote
💰 Bei: 250,000,000 TZS
⚠️ Hii nyumba HAIPO PUBLICLY POSTED!
Ni kwa watu serious tu wanaojua wanachotaka
📲 Uko tayari kununua?
Nicheki moja kwa moja nikutumie details na video yake
👑 Hii ni deal ya Tajiri, si ya kuangalia tu… ni ya kuchukua hatua!
📞 +255688412890
💼 Dalali wako Wakishua 😎🔥




















