Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI (UNFINISHED) INAUZWA MIL 69 TABATA MAWENZI
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning, Sitting ,Store, Kitchen&Public Toilet
Pia Kuna Servant Quarter Mbili Moja Ina Vyumba Kimoja Master Na Sebule Nyingine Ina Chumba Kimoja Master Single
Umiliki : Sales Agreement
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Umbali: Meter 400 Kutoka Barabara Kuu Ya Lami
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo Kwenye Nyumba
Bei : 69 Million (Maongezi Kidogo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=06595O7709 06595O7709