Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tambalale, Tabora
NYUMBA NZURI SANA IMEKAMILIKA KWA KILA KITU INAUZWA KIFURU HALI YA HEWA BADO UMEME TU.
Bei: 38 Million #maongezi_yapo
📍Location: Kifuru Hali ya Hewa
✅️Fully Documented
Nyumba hii imekamilika kwa kila kitu inafaa kwa kuhamia kabisa ipo Sehemu nzuri Tambalale Mazingira yake ni Rafiki mno ni kifuru Hali ya hewa Huduma zote zipo za Kijamii kama; Umeme, Maji, Shule, Hospital
Sifa zake:🏠
📍Vyumba 3 Vya kulala
📍1 Master bedroom
📍Sebule
📍Jiko Safi
📍Public toilet
📍Maji
📍Umeme upo
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls
☎️ 0759 883 886 Whatsp/Calls