Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Toangoma, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI, VYUMBA 3, TSHS.68 MILIONI, MWEMBEMDOGO/TOANGOMA
HII BEI NI YA DHARULA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo umbali wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Lami.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
+255714591548
____________Lr
Imejengwa kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.