Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI INAUZWA UBUNGO MAKOKA - DAR ES SALAM.
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Umbali: 2 Kilometers kutoka Barabaran ( Unaweza Kuingilia Ubungo River Side/ Kimara Korogwe)
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 55 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=