Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (APPARTMENT)
[ ] IPO BUNJU B - NJIA YA KWENDA MABWEPANDE
[ ] INA VYUMBA VIWILI NA SEBULE, CHOO CHAKO ILA KIPO NJE.
[ ] ZIPO 3 NDANI YA FENSI MOJA
[ ] UMEME UNAJITEGEMEA, MAJI MNASHARE WAWILI.
[ ] KODI NI TSH. 170,000/= KWA MWEZI