Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Buswelu, Mwanza
Nyumba hizi zinapagishwa ziko Buswelu wilayani Mwanza, Zina vyumba viwili vya kulala kimoja master bedroom jiko public toilet umeme na maji unajitegemea Kuna tank lisev Bei 35,000/= kwa mwezi malipo miezi6 sawa Tupigie 0686887297/0767346478