Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


STAND ALONE HOUSE Inapangishwa:
Location :: GOBA NJIA NNE NASH PARK
Bei yake :: 350,000Tshkwa mwezi (Miezi 6
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Call/Whatsapp;
0689193185
0743456099