Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







#NEW #APARTMENTS İNAPANGİSHWA GOBA NJİA 4, MADALE ROAD HAPA USHİNDWE WEWE MTEJA.
KODI 1 M × 7
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko kubwa la nguvu
Parking
Mazingira safii mnooo
Choo cha familia
Maji na Umeme mita yako
Ac
Heater
Full ulinzi
Kumbuka hapa unakula chini na kulala ni juu
__
Kodi 1,000,000/= × 7
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
__
Call
0679 997610
0747997630
Msigwa



















