Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: GOBA NJIA NNE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 4 Kutoka Kwenye Lami
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
• Sebule Kubwa
• Dining
• Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo ni Master
• Jiko Kubwa la Kisasa
• Public Toilet
• Reserve Tank (Dawasa)
• Heater ya MAJI
• Electrical Fance
• AC
Apartment Zipo Kwenye Fensi Parking Ipo na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 TSh. 700,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni TSh. 20,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali NI Mwezi Mmoja
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp & Call
0754 221168 WhatsApp & Call