Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA; STAND ALONE
💧Location :: GOBA CENTRE
💧Bei :: 500,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (kimoja ni Masta)
📍Sebule na Dinning
📍Choo cha Public
📍Jiko Lenye Makabati
📍Feni
📍Fensi
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0782 724 115