Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE
Location: GOBA ROAD 🛣️..
KITUO KWA ROBERT
UMBALI..DAKIKA 13 KUTEMBEA KUTOKA LAMI
VYUMBA V3 VYA KULALA 2 MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 600,000/=×3
‼️Ndugu Mteja , Nyumba Hii Itakuwa Wazi 15/02/2025