Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Hazina, Dodoma
HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 05/01/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LENYE KABATI
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA HAZINA FENSI ILA ULINZI WA KUTOSHA PARKING IPO
#KIMARA KOROGWE DK 2 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI USALAMA WA KUTOSHA NJOO CHAPU UKAE KARIBU NA BARABARA
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336