Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kawe, Dar Es Salaam


VYUMBA 2 KIMOJA MASTER (FULL AC) โ KWA AJILI YA KUKODI!
Mahali: Kawe Round About
Kodi: Tsh 1.6 Milioni/mwezi
Full Air Conditioned
Master Ensuite + Sebule Kubwa
Service Charge: Tsh 30,000/=
Udalali: Sawa na kodi ya mwezi 1 (Tsh 1.6 Mil)
Nyumba safi, ya kisasa, tayari kuingia!
Karibu uone โ piga simu sasa!
0688 412 890
Fursa haitarudi! ๐ก


















