Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







STAND ALONE/ INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE YA WAYA INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI #200k
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet ndani
Kodi 200,000 Kwa mwezi
Inajitegemea umeme na maji,
Umbali Dakika 8 Kwa mguu toka kituoni
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15K
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI