Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 30/11/2024 MALIPO RUKSA SOMA MAELEZO KWA UMAKINI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#DAINING TABLE
#CHOO KIZURI CHA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA
#FULL ICE ZINAFUNGWA
#MAFENI KOTE YANAFUNGWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI
#LOCATION KIBAMBA CCM KLM 1 KUTOKA LAMI HASI KWENYE NYUMBA USAFIRI MWINGI BAJAJI/DALADALA/500/MWENDOKASI /700 UKISHUKA TU DK 3 MPAKA KWENYE NYUMBA NJIA LAMI MPAKA GETINI BODA BUKU TU MPAKA GETINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUSAHAU NA PESA YA MWEZI MMOJA YA DALALI
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
0715949085
0782838336