Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA KIBAMBA HOSPITAL DK 2 KWA MGUU
-SEBULE KUBWA SANA
-DINNING
-JIKO FULL MAKABATI
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
-PUBLIC TOILET
KODI 300,000×6 TUU
NDAN YA FENSI ZIPO NYUMBA TATU
WALE WANAOPEND KUISHI JIRAN NA BARABRA AU KUISHI SEHEM YENY USALAM NA NYUMBA KUBWA HII HAPA.....
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347