Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIBAMBA SHULE DK5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
----------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏