Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
#STAND ALONE HOUSE FOR RENT INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 325,000 Kwa mwezi × 6
Inajitegemea kila kitu, umbali KM 1 toka kituoni unaweza Kutembea au boda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Inakuwa tayari mtu kuhamia tarehe 01/02/2025 ( INAFAULISHWA)
###0655256419
###0760830706