Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kiborloni, Kilimanjaro


NYUMBA INAPANGISHWA
LOCATION KIBORLONI UFUNDI
KODI 250000*3 PLUS MWEZI MMOJA WA DALALI
📌SEBULE
📌JIKO LENYE MAKABATI
📌VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI MASTER
📌UMEME WAKO MWENYEWE MAJI MNASHARE MPO WAWILI TU NDANI
📌CAR PARKING INA GETI NA UKUTA KARIBUNI
luluz_kitchen_decor





