Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Nyumba zinapangishwa sifa zake ni
Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master
Sebule kubwa
Jiko nzuri kubwa n k
Kodi 400k kwa mwezi
Zipo kigamboni kisota tuwasiliane mapema
📞☎ 0746914709