Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBQ ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location geza juu
<> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule n jiko mpya
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba ina mazingira safi
✅nyumba mpya na ya kisasa
<> asking price tsh,, 500k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837



















