Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


✅️VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBURE NA JIKO LAKE KWA 250K KWA MWEZI BOSS WANG
✅️NYUMBA MPYA KABISA NA IPO NDANI YA FENSI USALAMA WAKUTOSHA KABISA BOSS WANG
✅️KODI KUAZIA MIEZI 5 NAKUENDELEA BOSS WANG
✅️NYUMBA IPO KIGAMBONI DARAJANI SOWETO
✅️MALIPO YA DALALI 250K SERVICES 20K 📱 0750 886 103