Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> nyumba ina Vyumba viwili kimoja master sebule dining na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba mpya na safi
✅mazingira mazuri mnoo
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba ni apartment 3
<> asking price 500k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> Malipo miezi mitatu tu (3)
<> services charge 20k
🔳mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837