Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam







kodi laki 600,000 KIGAMBONI
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO. KIGAMBONI KISIWANI
UMBALI DAKIKA 8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
Ipondani ya fence parking kubwa sana
Vyumba 2 vyakulala kimoja mast
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina fungwa makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 20,000/
Kodi 600,000/=×6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 600,000
simu 0659336751 wsp 0786085637



















