Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYAA KABISA HII INA PANGISHWA 250,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 1,5
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
HAKUNA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI
KODI 250,000X6
NYUMBA FENSI ITA JEGWA USALAMA KAMA IKULU
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
USAFILI BAJAJI 700
BODA BODA 1000
UMEME WAKO
MAJI YANAFLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE
15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347