Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA FURSA
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
SOMA MAELEZO KWA UMAKINI๐
HAPA KUNA CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
UMEME LUKU YAKO MAJI MITA YAKO
KODI 200,000X6
(2)VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA SAFI
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
KODI 250,000X6
(3)KUNA CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA
MAJI YANA FLOW NDANI
UMEME MITA YAKO
KODI 100,000X6
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PEVING ZINAWEKWA PAMOJA NA GETI
ZITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 1/5/2025
ILA KULIPIA NI LUKSA KUANZIA SASA NA KUENDELEA
UMBALI KM 3
BAJAJI 1000
DALADALA 800
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
##0655256419