Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







350,000 x6 KIMARA TEMBONI BALA BALA RAFIKI KWA MAGALI HAINA ZOTE
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KLM 2
Ipondani ya fence parking kubwa sana
-------boda boda 1000
Vyumba 2 kimoja masta
Seble kubwa sana
Jiko kubwa
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 20,000/
Kodi 350,000/=×6
--------
Nb
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 350,000
#0785889413🔥🔥🔥🔥



















